Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWAHUTUBIA WANASONGEA NA KUZUNGUMZA NA WANACCM WALIOPO VYUONI, SONGEA

 


1
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki shughuli za maendeleo na kuhimiza uhai wa chama.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA) 2
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wakazi wa mjini Songea leo kwenye viwanja vya Sokoni Bombambili leo
  4Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mwisho  akizungumza na wakazi wa Songea leo. 6
Mmoja wa wasanii akitumbuiza wananchi katika mkutano huo. 7
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia  baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo 8
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo 9
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo elimu ya juu vya mjini Songea na walimu katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha ushirika na biashara.Kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi 10
Mmoja wa wanafunzi akitoa kero za wanafunzi hao kwa niaba ya wenzake katika mkutano
huo. 11
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisistiza jambo katika mkutano huo. 12
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akiwasalimia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Biashara na Ushirika mjini Songea leo. 13
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.14
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top