Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI WA ARFIKA NA KUHUDHURIA MAZISHI YA DR. MVUNGI

 


PG4A1720
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana  na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande (kuhoto) na Rais wa Mahakama ya afrika Jaji  Sophia Kuffo kabla ya  kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A1781
Askofu wa Jimbo, Geita Dmiano  Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika  kijijini kwa marehemu, Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A1797
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua katika jeneza la marehemu Dr. Edmund Mvungi kabla ya azishi yaliyofanyika kijijini  kwa marehemu Chanjale  wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya `Waziri Mkuu)
PG4A1810
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Dr.Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top