Dar es salaam Tanzani Matoke ya Darasa la Saba yametangazwa hivi punde
hivi punde na mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka
jana mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya
mtihani mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na
wanafunzi wa mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles
Msonda amesema ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya
6.01 na 28.06 ukilinganisha na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu
zaidi katika somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio
faulu kwa kiwango kidogo zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa
asilimia 28.62 Msonda amesema jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya
844,938 walio fanya mtihani huo wamepata alama ya 100 kati ya alama ya
250 idadi hiyo nisawa na asilimia 50.61
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Apiga Kura Huko Korogwe
25 minutes ago
Post a Comment