Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI AKITOKEA LONDON, UINGEREZA, ALIKOHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SERIKALI UWAZI

 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). Anayeongozana naye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwatumu Mahiza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit), akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali aliyefika kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mblaimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit).  PICHA NA IKULU
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top