Mhe
Balozi Kagasheki akisisitiza jambo wakati wa mkutano na viongozi wa
dini. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Gesimba, kulia ni Mkurugenzi wa
Masoko kutoka Tanzania Tourist Board, Bi. Devotha Mdachi
Picha ya pamoja ya viongozi wa dini pamoja na menejimenti ya Wizara ya Maliasili na Utalii.
Post a Comment