Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AFUNGA MAONESHO YA BIASHARA AFRIKA

 


PG4A2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara , Dr Abdallah Kigoda wakati alipofunga  maadhimisho ya siku ya  Viwanda Afrika kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Novemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A2066
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipata maelezo kutoka kwa Bw. George Buchafu wa Shirika la  Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO)  baada ya kufunga  maadhimisho ya siku ya viwanda  Afrika  kwenye  uwanja  wa Maonyesho wa Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam,  Novemba 20, 2013. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dr. Abdallah Kigoda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A2123
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipata maelezo   kutoka kwa Agness Tegete (kulia) wakati alipotembelea  banda la  Pani Lihengu Company katika maonyesho yaliyoambatana na maadhimisho a siku ya Viwanda Afrika yaliyofaungwa na Waziri Mkuu Novemba 20, 2013 kwenye  uwanja wa maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam . Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashar, Dr. Abdallah Kigoda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top