Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Dk.Shein atembelea Sober House Pemba

 


IMG_0870
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid Salum,alipofika katika moja ya nyumba hizo Limbani Wete,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0886
Baadhi ya Vijana wanaoishi katika nyumba za Sober house Limbani Wete,   wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0907
Kiongozi wa Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid Salum,alipokuwa akitoa shukurani zake kwa niaba ya Vijana wanaoishi katika  nyumba za Sober house,Limbani Wete,kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuzungumzanao jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0914
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Kiongozi wa Nyumba za Soberhouse Abdul Wahid Salum,alipofika katika moja ya nyumba hizo Limbani Wete,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0959
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Vijana wanaoishi katika Nyumba za Sober house Limbani Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya ziara maalum ya kuonana na vijana hao ,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) kujua matatizo yanayowakabili. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0981
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na  Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja na Vijana wanaoishi katika Nyumba za Sober house Limbani Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top