"Nisingefika
hapa nilipo fika leo Kama sio kwa malezi yako,kwa maelekezo yako, kwa
upendo wako, na kudra za mwenyezi mungu. nakushukuru na nakupenda kwa
moyo wangu wote na daima nitakuenzi... #mydad #baba #mshua #rohoyangu #myfriend #mybrother #mylife"
Loading...
Post a Comment