Akiongea na kituo cha CHANNEL TEN leo
jumapili tarehe 19/01/2014, mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi
ndugu Meena amelaani uteuzi wa Jumaa Nkamia kuongoza wizara inayosimamia
vyombo vya habari, nanukuu, "Nkamia nimesoma naye, lakini kauli zake za
hivi karibuni bungeni vinaonesha kuwa hapendi uhuru wa vyombo vya
habari,kwa aliyofanya waziri aliyepita na kwa uteuzi wa Nkamia tutegemee
kuminywa kabisa kwa vyombo vya habari".
Nilitegemea kuteuliwa kwa mtangazaji mkongwe Nkamia kungewafurahisha waandishi wa habari,lakini inaonekana sivyo.Je, ni kweli Nkamia hafai kuongoza wizara ya habari,au ni chuki binafsi za Meena kwa Nkamia.Nini mapungufu ya Nkamia mpaka akachukiwa kiasi hicho na Meena? Kama si Nkamia,nani anafaa kuongoza wizara husika?.
Source:Jamii Forums

1 comments:
Anaweza kuongoza tu, labda hao walitofautiana wakiwa huko chuoni hivyo meena asisambaze sumu kwa umma kwa kuwa tu yeye ana mahali pa kusemea. HIYO NI CHUKI BINAFSI.
ReplyPost a Comment