Mwenyekiti wa Nccr-Mageuzi James Mbatia
----
Chama cha NCCR-Mageuzi kitafanya Uchaguzi Mkuu wake Januari 18
mwaka huu, huku Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia na Katibu Mkuu
wake, Samwel Ruhuza wakijitosa tena kutetea nafasi zao.
Vigogo wengine wa chama hicho waliojitosa kuwania
uongozi ni mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali, Faustine Sungura
(Mjumbe wa Halmashauri Kuu), Danda Juju (Msaidizi wa Mwenyekiti- Taifa),
Leticia Ghati (Katibu wa Wanawake Taifa) na Mosena Nyambabe (Kaimu
Katibu Mkuu).Kwa habari zaidi Bofya Endelea.........


Post a Comment