Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI TENA YATOKEA ENEO LA VINGWAZA, RUVU NA KUSABABISHA KUFUNGA NJIA

Kila mmoja akitahamaki asielewe la kufanya, huku juhudi za kuondoa magari eneo la tukio likiendelea.
Taharuki kwa wananchi waliokuwa eneo la tukio.
Picha kwa hisani ya Mdau Saphina wa Kajunason Blog
******
Ajali ya Magari mawili likiwemo lori la Mafuta na Lori la Mizigo lililotokea eneo la Vigwaza eneo la Ruvu mchana wa leo, Ijumaa Feb 7, 2014 ambapo magari hayo yamefunga njia na kusababisha usumbufu mkubwa. Wakizungumza kwa namna tofauti mashuhuda wa ajali hiyo toka eneo la tukio wamesema magari hayo yaligongana wakati yakipishana na kusababisha kufunga njia.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top