Mwenyekiti
wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Meya w Manispaa ya Morogoro Mh
Amir Juma Nondo Akifungua Mkutano wa Alat Tawi la Morogoro Kulia Ni
Katibu wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji Kutoka
Wilaya ya Ulanga Mh Isabella Chilumba Akifuatilia Kwa Makini Hotuba ya
Ufunguzi w mkutano Huo.
Makamu
Mwenyekiti wa ALAT Tawi la Morogoro Na Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Morogoro Vijijini Mh Kibena Kingu (Kushoto) Akiwa Pamoja na Mwenyekiti
wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Meya w Manispaa ya Morogoro Mh
Amir Juma Nondo (Katikati) Wakimsikiliza Katibu wa ALAT Tawi la Morogoro
Ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji Kutoka Wilaya ya Ulanga Mh Isabella
Chilumba Akiongoza Kikao Hicho.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mh Jonas Zerand Akichangia Hoja
katika Mkutano wa ALAT Tawi la Morogoro Uliofanyika jana katika Ukumbi
wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Ya Mvomero.
Wakurugenzi
watendaji wa Wilaya zaMvomero Kilombero na Morogoro manispaa ambao ni
wajumbea wa ALAT Tawi la Morogoro wakifuatilia kwa Makini Mkutano hu.
Wajumbe wakifuatilia kwa Makini Ajenda Zinazoendelea wakati wa Mkutano wa ALAT Tawi la Morogoro.
Katika
Mkutano Huo Ulioudhuriwa na Wajumbe Kutoka Wilaya Zote Zinazounda Mkoa w
morogoro Walijadili Mengi Likiwemo Kupitia Rasimu ya Mapendekezo ya
Katia ya ALAT ya 1984 Pamoja na Kulichukulia kwa Uzito wa Juu Swala la
Mgogoro wa Wakulima na Wafugajikatika Mkoa wa Morogoro.ALAT Tawi la
Morogoro wamiomba Serikali Kuliangalia Tatizo Hilo la Migogoro ya
Wakulima na wafugaji kwa kuwa Limezidi Kuichafua Sura ya Mkoa wa
Morogoro na Litakuja Kuleta Matatizo Makubwa kama halitachukuliwa kwa
uzito mkubwa sasa.Aidha Wajumbe wa ALAT Tawi la Morogoro Wameiomba
Serikali Kuwashirikisha Kila Jmabo Ambalo wamepanga Kufanya kwajili ya
Maendeleo ya Wanchi wa Mkoa wa Morogoro kwa kuwa wao ndio Watendji Ambao
wako Karibu Zaidi na Wananchi.
Post a Comment