Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Maalim Seif Awahutubia Wananchi wa Cuf Chake.

 


KATIBU mkuu wa Chama Cha wananchi CUF, ambaye pia ni makamo wa kwanza wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe Maliim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, katika mkutano wa hadhara wa chama hicho, uliofanyika katika kiwanja cha Tibirinzi Chake Chake.
WAJUMBE wa kamati ya maridhiano Zanzibar, wakibadilishana mawazo, huko katika kiwanja cha Tibirinzi Chake Chake Pemba, katika mkutano wa chama cha CUF, kutoka kulia.Ndg. Edi Riyam,Ndg.Mansour Yussuf Himid,Mhe:Ismail Jussa,Mhe:Aboubaka Khamis Bakari na Mzee Nassor Moyo.
 AKINAMAMA wa kikundi Cha ngoma ya msewe kutoka kambini kichokochwe, wakionesha umahiri wao wa kucheza ngoma hiyo ya asili kisiwani Pemba, huko katika kiwanja cha Tibirinzi chake Chake katika mkutano wa hadhara wa CUF. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top