Mgombea
 Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete 
(kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya 
Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.Katika Mikutano 
yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo 
hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo 
hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.Picha na Othman Michuzi 

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete  akifurahia jambo na Mzee Joseph January wa Kijiji cha Kisanda,Kata ya  Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze.Picha na Othman Michuzi
.Picha na Othman Michuzi
.Picha na Othman Michuzi




Post a Comment