Katibu
 Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa Ubunge katika 
uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika mkutano wa 
uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Uwanja wa  Miembesaba,
 Chalinze mkoa wa Pwani.
Mgombvea
 ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, kwa tiketi ya CCM, 
Ridhiwani Kikwete akiomba kura katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za 
CCM za uchaguzi huo leo kwenye Uwanja wa Miembe saba, Chalienze.
 Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana pamoja na Mgombea 
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya 
Kikwete wakiwapungia mkono wananchi wa Jimbo la Chalinze na WanaCCM 
waliofika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo 
Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani.

Mjumbe wa NEC na Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akijumuina na WanaCCM wa
 Jimbo la Chalinze huku akiwa amebeba bango la Mgombea Ubunge wa Jimbo 
la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete.





Post a Comment