Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma. 
 | 
Makamu
 wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi  akijadiliana jambo 
na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) wakati wa semina ya kuhusu kanuni
 za bunge hilo leo mjini Dodoma. 
 | 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro
 akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia ,Januari 
Makamba wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini 
Dodoma. 
 | 
Mjumbe wa Bunge Maalum Dk.  Tulie Akson  akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma. Picha na Magreth Kinabo 
 | 


Post a Comment