Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSANII WA BONGO FLEVA LORD EYEZ MBARONI KWA KUIBA LAPTOP

 

 

Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.
Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika Hoteli ya Shiva ya jijini Arusha na kuiba Laptop aina ya Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi ulianza siku ya ijumaa.
 Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi sasa msanii huyo bado yupo Lumande akiisaidia polisi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top