Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SAMIR NASRI - "YAYA TOURE ANGEKUWA MWEUPE KILA MTU ANGESEMA YEYE NDIO KIUNGO BORA ZAIDI DUNIANI."

 





Samir Nasri: "Kama asingekuwa muafrika kila mtu angesema ni kiungo bora duniani. 
"Unawaona baadhi ya wabrazil au waargentina, sitaki kusema chochote kibaya, ila kwasababu wanatoka katika nchi hizo, basi vilabu vya EPL vinalipa £40m au £50m kwanunua.
"Mtu kama Yaya, ameshinda kila aina ya kombe, nitajie kiungo mmoja wa uzuiaji anayeweza kucheza kama yeye na kumaliza msimu na magoli yasiyopungua 15? 



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top