Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TRAFIK AGONGWA NA GARI MOROGORO.

 


Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.
Tukio hilo lilitokea jana wakati Askari Huyo alipokuwa Eneo la Kituo cha kushusha Abiria Kwenye Shule ya Msingi Ya Mtawala Mkoani hapa
Kwa sasa Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top