
'Wafungwa'
wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho
yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam leo

Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi


Askari anapangua teke....

Kisha anakata zote bee....

Mfungwa hoi...

Anadakwa kilaaiiini....
Hii
ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari
waliovalia aina ya nguo za wafungwa....Chanzo Michuzi Blog


Post a Comment