Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwinyi na Viongozi wengine
wakifuatilia sherehe za mkeshwa wa Muungano katika viwanja vya Maisara
Zanzibar ikisherehekewa na burudani mbalimbali ukisubiriwa muda wa
fashfash.
Wananchi
waliofika katika viwanja vya maisara kusherehekea miaka 50 ya Muungano
wa Tanganyika na Zanzibar.wakipiga picha za kumbukumbu kupitia simu
zaoza mikononi.
Wananchi wakifurahia fashfashi hizo katika viwanja vya maisara usiku wa jana.
Mambo ya shamrashamra za miaka 50 ya Muungano.
Wasanii wa Kikundi cha Taarab cha Mafunzo wakiptowa burudani katika mkesha huo katika viwanja vya maisara Zenj
Wasanii wa Kikundi cha Taraab cha Mafunzowakilishambulia Jukwaa kwa wimbo Maalum wa Miaka 50 ya Muungano.
Wanamuziki
wa Bandi ya Jeshi la Polisi Zanzibar Wana mkunde Ngoma wakitowa
burudani katika viwanja vya maisara kusubiri mkesha wa miaka 50 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Post a Comment