Mwana Hip hop Joh Makini akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live.Mashabiki wakinyoosha mikono juu baada ya kuridhika na shoo kali iliyodondoshwa na kundi la Weusi.
G Walawala akiwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live usiku huu.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
(PICHA NA DENIS MTIMA/GPL)
Post a Comment