Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO YATIMA YAFANYIKA ZANZIBAR

                                      


zanzibar_da84b.jpg
Watoto yatima wakiwa wamekusanyika katika kusherehekea Maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.
zanzibar.2_73eb9.jpg
Katibu Mkuu Osifi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Omar Dadi Shajak akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.Kulia kwake ni katibu Mtendaji wa Wakfu na mali ya Amana Sheikh Abdalla Twalib na kushoto yake ni mwakilishi wa I,H,H Sheikh Muhammed Pakshi.

zanzibar.3_098d3.jpg
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Omar Dadi Shajak kulia akiwa pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi wakipanda miti katika maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.(FS) 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top