- Atembelea kata ya Kibaoni, asalimiana na wananchi na kukagua mradi wa maji, akutana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda .
- Ajionea mradi wa ufugaji Nyuki katika shamba la Waziri Mkuu


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasomea wakazi wa kijiji cha Majimoto vijiji vitakavyopata umeme mwaka huu katika wilaya ya Mlele .


Post a Comment