Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Meja Ali Kitundu, kuhusu elimu
ya awali kwa wanafunzi wanaojifunza elimu ya afya kabla ya ajila.,
wakati alipofika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kwa ajili
ya kufungua Kongamano la Mradi wa Maisha kuhusu Afya ya Mama na Mtoto.
Kutoka kulia ni Dkt. Grace Qoro, Waratibu wa mradi huo, Jasmine
Chechewa na Shallah Ukende. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo jinsi ya kumhudumia mama mjamzito kutoka kwa
Mratibu Msaidizi wa Afya Mzazi na Mtoto wa Wilaya ya Ilala, Edith Mboga,
wakati alipofika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kufungua Kongamano la Mradi wa Maisha kuhusu Afya ya Mama na
Mtoto. Kulia ni Mshauri wa Ukunga Mradi wa Maisha, Scholastica Chibehe.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia, wakati alipofika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya kufungua Kongamano la Mradi wa Maisha kuhusu Afya
ya Mama na Mtoto. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi cheti mwakilishi wa Mradi wa Maisha kutoka Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresa Mmbando, wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la Mradi
wa Maisha kuhusu Afya ya Mama na Mtoto, jijini Dar es Salaam, leo.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi cheti mwakilishi wa Mradi wa Maisha kutoka Mkoa wa
Morogoro, ambaye ni Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Eliya Ntandu,
wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la Mradi wa Maisha kuhusu Afya ya
Mama na Mtoto, jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR
on Wednesday, April 16, 2014
Post a Comment