GAZETI LA MAWIO, KIBONA DICKSON NA WIVU WA “RIDHIWANI KIKWETE, BABA RAIS MTOTO MBUNGE, MAMA MNEC. -
NA UPENDO WA MTEI MKT WA KWANZA,BOBU MAKANI MKT WA PILI (KAOA DADA WA MTEI),MBOWE MKT WA TATU (KAOA MTOTO WA MTEI),NDESAMBURO NA WANAWE WABUNGE,LISU NA DADA YAKE WABUNGE(WANGESHIKA NCHI OTEA, WAKINA NANI WATAKUWA MAWAZIRI NA RAIS WA KWANZA,PILI NA WATATU?) HUO NI UFALME AMA KURITHISHANA?

Nimesoma
nakala yako katika gazeti la Mawio la Alhamisi April 10-16, 2014 yenye
kichwa cha habari “Ridhiwani Kikwete baba Rais Mtoto Mbunge Mama MNEC”
na ndani ya ukurasa wa 12 umeweka kichwa cha habari “Ridhiwani Kikwete
kumirihi Baba yake”
Nakala yako ni fupi sana kiasi cha kunifanya nijiulize nini ajenda na hoja yako? Nani kakutuma na ili iweje?.
Umeanza nakala kwa kutaja mfano wa Rais dikteta wa nchini Misri, Hosni Mubarak na kutaka kulinganisha harakati zake za kumuandaa mwanae Gamal Mubarak kumridhi ukachukua nafasi kubwa sana kutoa mifano ya nchi na marais ambao waliwaachia uongozi ndugu zao ama watoto zao.
Baada ya Hosni Musri, ukamtolea mfano Rais Museven na mke wake Janet Museveni kushinda Ubunge Uganda February 2006 na February 2009 kuteuliwa kuwa waziri. Ukaendeleza tuhuma kuwa Museven anataka kumuandaa mwanae Muhoozi Kainerugaba kumrithi atakapo ondoka madarakani.
Ukaendelea kuwa Nchini DRC Laurent Desire kabla alimuandaa Mwanae Joseph kabila kumrithi na Joseph alipofudhu masomo ya kijeshi nchini China, alimteua kuwa kamanda Mkuu wa Vikosi vya DRC.
Unaendelea kuandika kuwa Rais wa Zamani wa Malawi Hayati Bingu wa Mutharika kwa baada ya kumaliza Urais 2014 alimrithisha Kaka yake Peter Mutharika.
Ukaingia na mfano ya Nchini Tanzania ili ujenge hoja yako vizuri ukaanza na Mzee Sheikh Aman Abeid Karume kuwa alimuandaa mwanae Amani Karume kuwa Rais, ukisema Amani aligombea Ubunge Jimbo la Raha Leo na kushinda baadae akapewa uwaziri na alafu akagombea Uraisi.
Ukaingia kwa Hussein Mwinyi, ukasema ametengenezewa mazingira ya kurithi madaraka (Japo ujasema ni nani amemtengenezea mazingira wakati Baba yake hakuwa Rais tena?).
Mara ukafikia lengo lako la familia ya Rais Kikwete, ukisema harakati za familia hiyo kushika madaraka zilianza mwaka 2005 baada ya Rais Kikwete kuingia kwenye uraisi, ukisahau kuwa Ridhiwani alikuwa chipukizi wa umoja wa vijana wa CCM tangu Baba yake akiwa Jeshini Monduli na Mama Salma hajaolewa, lakini unajichanganya na kukiri tena kuwa kabla ya uchanguzi Mkuu wa mwaka 2005 Ridhiwani alikuwa mjumbe wa kamati ya utekelezaji UVCCM.
Ukisema katika uchanguzi wa mwaka 2010, Kikwete alitumia mwanae huyo kuzunguka Nchi nzima kutafuta wadhamini.
Ukisahau kuwa sifa ya kutafuta udhamini ilikuwa ni ya kijana makini tu wa CCM na vijana wengi ikiwemo mimi Abubakar Asenga tulifanya kazi hiyo.
Unasahau pia UVCCM Taifa inajukumu la kumnadi mgombea wa CCM, hivyo vikao vilikubaliana rasmi kuwa na makundi mbalimbali katika kufanikisha kampeni, kulikuwa na kundi lililoongozwa na Mwenyekiti UVCCM Taifa (Makamo Beno Malisa alikaimu nafasi hiyo na kuongoza kundi wakati huo).
Katibu Mkuu aliongoza pia kundi la Vijana na Wajumbe wa Kamati ya utekelezaji wakiwemo wakina Ridhiwani waliongoza kundi lao pia.
Kibona Dikson hauoni kuwa kwa Abubakar Asenga kupewa kazi ya kutafuta wazamini wa mgombea urais wa CCM kule Kagera ni kuwa Asenga anaandaliwa kurithishwa nchi hauoni hilo pia kwa Beno Malisa, Martine Shigala na wengine, ila unaliona hilo kwa Ridhiwani tu. UNALAKO!!
Katika mifano yako yote uliotoa hakuna popote uliposema kuwa kuna Rais aliemwachia mtoto wake ama ndugu yake urais hakiwa hana sifa ama hakuchaguliwa kihalali na wananchi husika.HAKUNA.
Moja: Hosni Mubarak hakumrithisha mwanae Urais kwa hiyo huo si mfano halali.
Pili: Museven, Badoni Rais wa Uganda,hajarithisha yeyote Uraisi, Ijapo najua Uganda hawajarithishwa, kama mwanae Muhoozi ama mke wake wanasifa za nafasi hiyo watapitishwa na vyama vyao na kisha kwenda kwa wanauganda kuomba ridhaa, waganda watachagua Rais wao kwa Demokrasia na kama hawataki watu hao watamchagua wamtakae toka chama chochote jaribu kutujengea hoja tuamini kuwa mke wa Museveni ama mtoto wake hawana sifa za kuwa Marais ama hawana haki hiyo ya kirais kwa sababu tu wanaundugu na rais Museveni,
kama ilivyo Uingereza kuwa hawezi kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo hadi utokane na tumbo moja tu la malkia na Waingereza wengine wote wanalikubali hilo kama mazuzu, japo wewe Kibona unaona ni mfano bora wa Demokrasia.
Mfano wako wa Rais Laurent Kabila kumrithisha Joseph Kabila haukubaliki pia kwa sababu Laurenti alifariki na viongozi wan chi hiyo wakaona Joseph anafaa katika nafasi hiyo la msingi kujiuliza Je Joseph Kabila kashindwa kuwa Rais mzuri wa Kongo (DRC)? ama hafai kwa sababu Baba yake alikuwa Rais? Nakujulisha miongoni mwa marais wanaopendwa na wananchi wao Afrika basi Kabila mmoja wao.Amefanya juhudi za dhati kabisa kuleta amani ya maendeleo DRC, waulize kamati ya waandishi wa Habari wa Tanzania walioalikwa kutembelea Congo DRC, watakuambia.
Malawi,aliyekuwa Rais baada ya Bingu wa Mutharika ni kaka yake Peter Mutharika lakini unakiri kuwa chama cha Democratic people panty (DPP) kilimpitisha kugombea urais mwaka 2014 wapi ambapo Bingu alisema Peter anafaa tu kwa kuwa ni kaka yake ili arithi? Hiyo ninadharia ya Demokrasia ya Kibaguzi tu.
Demokrasia maana yake ni Serikali inayo chaguliwa na watu, kwa ajili yao na inaotokana na wao, Je watu wa familia za Viongozi si wananchi?.Hakuna mfano ata mmoja uliotoa kuonyesha kuna mtu kabebwa.
Hapo hakuna hoja, kama ipo hoja basi tujadili hapa, kuwa Ridhiwani hana sifa za kuwa Mbunge wa Chalinze na baba yake Kikwete kamuibia kura ili awe Mbunge!! Mtu ameshinda kura za maoni wazi uwanjani wagombea wenzake wote watatu wamehesabu kura zao, waweka sahihi kuwa wameshindwa kihalali, hilo nalo ni raisi Kikwete amemuandaa?
Nchi nzima iliposikia Ridhiwani anagombea, wazi kabisa ilijua anasifa na atashinda Ubunge na walisema wazi kupitia mitandao ya kijamii kuwa ata vyama vya upinzani wasigombee Chalinze wataaibika, hadi leo sijasikia Chadema ikisema imepata kura elfu mbili dhidi ya elfu ishirini na tatu za Ridhiwani kwa sababu ni mtoto wa Rais.Wamesema wapi?
Kibona, hakuna popote uliposema Godfrey Mgimwa alieshinda Ubunge waKalenga (Iringa) anaandaliwa kuwa Waziri wa fedha kisa Baba yake alikuwa ama anaandaliwa kurithi Nchi? Ila Ridhiwani tu, wapi Mgimwa Godfrey kabebwana CCM? Kwa sifa tu za baba yake uliesema waziri? Wapi? Pamoja na helkopta tatu na Wabunge wote wa Chadema kwenda Kalenga wanakalenga wamemchagua Godfrey Mgimwa wapi Baba yake ama CCM imemrithisha uongozi? Wapi?
Mfano wa Mzee Karume na Amani Karume, hautoshi, Amani amekuwa Rais wa Zanzibar miaka 28 baada ya Baba yake kufariki wapi mzee Karume kamrisisha Amani ikiwa Amani hana sifa za kuwa Rais wa Zanzibar? Wapi?.
Lete hoja kuwa Amani alikuwa Rais Mbovu Zanzibar, lete hoja kama kuna kiongozi ameleta umoja na Amani Zanzibar kama si Amani Karume (Mtoto) baada ya mvurungano lete hoja kuwa alibebwa kwenye nafasi hiyo pasi na kuwa na uwezo, wapo watu Zanzibar wanatamani Amani Karume arudie Urais Zanzibar.(umoja wa kitaifa)
Mfano wako kwa Hussein Mwinyi, maoni dhaifu, Mzee Mwinyi sio Rais kwa sasa anamrithishaje mwanae uraisi lakini je kwa mambo mema ambayo Mzee Ally H.Mwinyi ameifanya Tanzania, Nani mwenye shaka kuwa mwanae kwa Elimu, Malezi na umakini anaweza kuwa Rais bora wa Tanzania? Nani? Mtanzania gani atakataa kumpigia kura kwa sababu tu motto wa rais? nani ?
Je pamoja na sifa hizo tumkatae kwa kuwa tu ni mtoto wa Rais Mstaafu na tukuchague wewe ambae hauna sifa kwa kuwa tu Baba yako si Raisi? Hiyo ndiyo demokrasia? Wamarekani hawana akili kiasi kwamba cha kumchagua Rais George W. Bushi wakijua baba yake Walker alikuwa Rais? Au nae kaandaliwa amerithishwa? Au ni ile dhambi inayoonekana kwa Waafrika tu? Na kwa Rdhiwan tu?
Mwalimu Nyerere aliwahi kuonya na kusema juu ya hatari ya ubaguzi na kwa ujumla alimaanisha “Dhambi ya kubagua ni mbaya sana, kubagua kwa rangi, kabila, dini na kadhalika, alisema haiwezekani tunatafuta Rais wa nchi yetu, Rais bora, tunamtu tumempata anasifa zote za ubora, tuseme tu, mtu huyu hafai kwa sababu kabila lake ni mkara (yani hafai tu kwa sababu baba yake alipatapo kuwa Rais ama kiongozi) watu wkiuliza mbona fulani mmemuacha na anazosifa zote, sisi tujibu, ala!! Yule bwana MKARA BWANA, bwana yule mkara, hiyo mwalimu ameonya na kuwa si sawa”.
Kibona Dickson, unajenga picha ya kuwa kunaupendeleo CCM, eti kisa Ridhiwani na mama Salma Kikwete walipitia UNEC bila kupingwa? Je unajua wajumbe wangapi wa NEC ama wabunge wamepita bila kupingwa CCM? ama ndani ya chama ama katika Uchaguzi mkuu wa ubunge? Hao nao wanaandaliwa kurithi?
Mizengo Pinda kupita bila kupingwa anarithi nchi ambayo baba yake alikuwa Raisi, ama mzee Nimrodi Mkono?
Makongoro Nyerere kushinda Ubunge wa Afrika ya Mashariki, kwa uwezo mkubwa wa kujenga hoja Je, hafai tu kwa sababu baba yake alikuwa baba wa taifa na Raisi wa kwanza wa Tanzania?
Ama Makongoro Nyerere pamoja na baba yake kuwa Rais, kushindwa UNEC wa CCM Musoma nako unakusemaje?. Watoto wa viongozi wa CCM hawashindwi ndani ya CCM ama serkali? Iko wapi hoja yako? JIPANGE KIBONA DICKSONI.
Wanchama wa CCM lindi wamekaa na kuona kuwa, katika wilaya ya mjini, mama Salma atakuwa mwakilishi wao mwema na bora, wakashauriana kutokuchukua fomu kumpinga, na ili kuthibitisha hilo wakapiga kura na kumchagua kwa karibu kura zote za ndio?
Sio kama mizengwe inayo wekwa na watu wa chama fulani, kufukuza uanachama na kuita wenzao wasaliti tu kwa sababu wanamalengo ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, ama kusogezwa mbele kila mara kwa uchaguzi wa chama kumtengenezea mazingira mwenyekiti ambae ni mkwe wa muasisi wa chama aendelee kuwapo madarakani.
Kama kuna chama cha siasa ambacho hakija shika dola lakini kila mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho ana mke wake ama dada yake ambaye ni mbunge kwa kubebwa, hiyo sio hoja kwako Kibona Dicksoni? kuwa chama husika kikija kushika dola, kama raisi wa kwanza alikuwa mzee Mtei basi raisi ajae atakuwa Bobu Makani ambae ameoa kwake, ama raisi atakae fata atakuwa Mbowe ambaye ameoa kwa mzee Mtei kwako watoto wa kiongozi mkubwa wa chama hicho Lucy na mwenzake kuwa wabunge .
Sio hoja kuwa kama alivyo baba yao Ndesamburo, ama haikupi adhari kuwa katika serikali yao watakuja kuwa mawaziri na kurisishwa urais? kwa kuwa sifa ya uwaziri ni ubunge? Kwako unaona sawa dada yake Lisu kupewa ubunge wa viti maalumu hata kabla ya kuwa na kadi ya chama lisu ?.
Tusifanye kuzaliwa na kiongozi iwe ni laana, ila tukatae kuchagua viongozi wasio na sifa. Unataka watanzania kwa kukumbuka mazuri ya raisi Kikwete kwa miaka ijao wakiamini mwanae atakae kuwa na sifa stahiki kwa wakati huo anafaa kuwa raisi angalau Uhuru na neema za wakati wa baba yake zinaweza kurejea, wamkatae tu kisa eti baba yake amesha itumikia nafasi ya uraisi? Unataka mwakani mwaka 2015, wanalindi waiona na kusema mama Salma anatosha kuwa mbunge wao, wakaungana na kumchagua bila kupingwa tumkatae mama Salma kwa kuwa tu mumewe alikuwa rais.?
Yani unataka tuweke kwenye katiba kwamba sifa moja ya kukosa uongozi ni kutokana na familia ya kiongozi.? Nahiyo ndiyo katiba bora?
Hata ukisoma historia ya mitume ya Mungu inamahusiano(na karibu wa metokea sehemu moja), na hawakukataliwa kwa sababu hiyo tu bali wakataa wema wakawachukia kwa kuwa mitume walipigana na dhulma .
Chukulia nchi yetu Tanzania ndiyo Chalinze, wananchi wameamua raisi wetu awe ameshinda kwa kura halali asilimia 86.6% chama cha pili mgombea wake kapata asiimia 3% tumkatae kisa tu ni mtoto wa rais? Nafasi hiyo tumpe yule aliye shinda kwa asiimia 3% na hiyo ndiyo demokrasia Mwalimu Nyerere?
“Ubaguzi ni ubaguzi tu, hatukuwachukia makaburu wa Afrika ya Kusini kwa sababu ya rangi yao, bali tuliwachukia kwa matendo yao, mnasema watanzania wenye rangi na nywele za kiarabu ama za kihindi si watanzania? Huo ni ukaburu tu.” Mwalimu Nyerere.
KILA LA KHERI RIDHIWANI KIKWETE, KILA LA KHERI ASENGA ABUBAKAR. D., KILA LAKHERI MTANZANIA - fb

Post a Comment