Mama yake huwa
anamuandalia kuku kama chakula cha siku lakini anakataa na kutaka apewe
vipande vya matofali. Kwa siku moja anakula vipande kadhaa vya matofali
ambapo kwa makadirio huwa
anakula kilo 3 kila siku. Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba
anakula kilo 3 kila siku. Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba
ameanza kula vitu kama hivyo tangu akiwa na miaka 10 na anaweza kukosa chakula lakini hawezi kukosa kula vipande vya matofali.
Akiwa anapata chakula chake hicho
akipendacho(matofali) huwa anahitaji kikombe cha maji tu ili kushushia
na mwenyewe anasisitiza kwamba hajisikii tofauti kabisa.
Mkazi huyo wa kijiji cha Karnataka
nchini India anasema anataka kuzunguka India nzima akionyesha watu uwezo
wake huo na kujipatia pesa kwa kuonyesha maajabu hayo.
Angalia hii video uone jinsi jamaa anavyomega matofali.



Post a Comment