Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Katiba, naye Shaaaban Robert kwenye kitabu chake cha ' Kufikirika' anasema...

                               



9789976973068_964e9.jpg
" Mtoto wa Mfalme wetu ni mgonjwa kitandani. Mikoba ya waganga wetu wote bora imemiminia dawa zote zilizokuwamo ndani yake. Haikutokea hata dawa moja kuwa mujarabu. Hatari ya maisha ya mtoto inahofiwa sana. Mfalme astahili msaada wa kila raia. Wanatakiwa watu wawili; mwerevu na mjinga, kwa kafara. Idhini ya Baraza hili yatafutwa. Heshima kubwa kama hii bado kutokea. Idhini ikipatikana kafara litafanywa mara moja. Inatazamiwa kuwa salama ya mtoto wa Mfalme imetegemea Baraza hii. Tumepewa fahari ambayo nchi yo yote ulimwenguni bado kuwapa washauri wake."- Shaaban Robert.(P.T)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top