Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kilichotokea kwenye hisa za Man United baada ya Moyes kufukuzwa


article-2609419-1AAD9294000005DC-897_634x367
 
Wakati kocha Sir Alex Ferguson alipostaafu kama meneja wa Manchester United mwezi wa tano mwaka jana, hisa za klabu hiyo kwenye soko la hisa la New York thamani yake ilishuka kutoka kuuzwa $18.44 mpaka $15.16 ndani ya kipindi cha mwezi mmoja tu!
Chini ya utawala wa David Moyes thamani yake iliendelea kushika kwa kasi, mpaka kufikia wiki ya 52 ya utawala wa Moyes thamani ya hisa hizo ilifikia  $14.26 kwa hisa moja.
 tumblr_inline_n4gpyjhRR11ryfaxj
Lakini tangu mwishoni mwa mwezi tano, wakati tetesi za kutimuliwa kwa David Moyes zilipoanza kusambaa thamani ya hisa hizo ikaanza kupanda, na jana tu baada ya kuthibitishwa kwa taarifa kwamba Moyes kibarua kimeota nyasi, thamani ya hisa za Man United ikapanda kwa kasi.
Mpaka kufikia jana jioni thamani ya hisa za MUFC ilikuwa ni $18.78 kwa hisa moja.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top