Katibu wa CCM, wilaya ya Mwanga, akisoma historia fupi ya Mzee Msuya kabla na baada ya kujiunga na siasa
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za CCM wilaya ya Mwanga leo |
Mzee Msuya akitoa pongezi zake kabla ya kuaga rasmi.
Kundi la wazee wa kimila wakiongozwa na Mzee Kasim Msemo wakimkaribisha Mzee Msuya kijijini |
Mzee Msuya akiwa amekaa kwenye kiti cha jadi kama ishara ya kurudi rasmi kijijini baada kutangaza kustaafu siasa
Rais
Kikwete akizungumza na wananchi katika hafla ya kumuaga Mzee Msuya
katika ulingo wa siasa, uliofanyika leo katika ofisi za CCM wilaya ya
Mwanga.
Mamia ya Wananchi waliokusanyika kushuhudia hafla hiyo
Post a Comment