Hit
Maker wa Tupogo Ommy Dimpoz leo amepost kipande cha video ambacho ni
kionjo cha wimbo wake mpya kwa taarifa za mwanzo inasemekana imefanywa
Uingereza na Director kutoka Nigeria Moe Musa,cheki kipande hiki kisha
unaweza kutoa coment yako hapo chini.
Bonyeza play kutazama.
Post a Comment