Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PICHA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUHUYE WAKIWA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO, MWANZA


Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha.
Majeruhi wakiwa hospitalini Bgando.Majeruhi wakiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza.
 
(PICHA ZOTE KWA HISANI YA G SENGO BLOG)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top