Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo,
wakati wa ziara yake mkoani Rukwa ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua
miradi ya mendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
Waendesha bodaboda wakiongoza
msafara wa Kinana kuelekea Matai Makao Makuu ya Wilya ya Kalambo
kuendelea na ziara wilayani Kalambo
Kinana akiondoka baada ya kuzindua ujenzi huo
Balozi wa Shinma namba mbili la CCM katika Mji wa Matai wilayani Kalambo, Gerald Sokoni akifunguakutano alipotembelewa na Kinana
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi ambaye pia
ni Kaimu Mkuu wa Wilya ya Kalambo, Iddi Kimanta akihutubia mkutano
katika shina hilo la balozi
Kinan akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo
Mjbe wa NEC-CCM Balozi Ally Karumbe akilakiwa na wananchi wa Kata ya Kasanga
Akinana dad waipiga picha wakati
Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata yaKasanga ilyopo kaika
mwambao wa iwa Tanganyika, wilayani Kalambo
Mmoj wa wakazi wa Kata ya Kasanga akiwa amembeba mwanawe wakati wa mkutano uliokuwa unahutubiwa na Kinana
Wananchi wakishagilia hotuba ya Kinana
Wnachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kubidhiwa kadi na Kinana katika mkutano huo
Kijana akila kiapo cha utii cha CCM huk akipiga picha waati wa mkutano huo wa hadhara
Kinana akiwaongoza wanachama wapa wa CCM kula kiapo cha utii
Kinana akizaadiwa zawadi mbalimbali na wananchi wa kata ya Kasanga
Knana akihutubia mkutano huo wa hadhara
Sehemu ya Ziwa Tanganyika likionekana katika Kata ya Kasanga
PICHA ZOTE NA KAMANDA WAMATUKIO BLOG
Post a Comment