Waziri
 Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Nchi Katika Idara  ya 
Nishati  na Mabadiliko  ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe.  Gregory Baker 
(Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), 
Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu)

 Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo 
ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la 
Katiba Mjini Dodoma,Aprili 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Afya 
na Ustawi wa Jamii, Dkt, Seif Rashid (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa 
Serikali wa Zamani, Andrew Chenge (katikati) wakiteta kwenye viwanja vya
 Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment