Kikao
 cha Kamati ya Utendaji kilichoketi tarehe 10 Aprili 2014 Makao Makuu ya
 klabu kiliazimia kuwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika 
tarehe 15 Juni 2014.
Taarifa za taratibu za Uchaguzi zitatangazwa hapo baadae na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mh Alex Mgogolwa.
 Imetolewa:
Young Africans SC
14 Aprili,2014.
  on Tuesday, April 15, 2014



Post a Comment