Kwa mujibu wa rafiki kipenzi wa Mr. Nice tangu kipindi kile cha "kidali po" Wabogojo aliandika kupitia mtandao wa kujamii wa
instagram kuwa mnamo tarehe 12 mwezi wa 4 mwaka huu Msanii Lucas Mkenda
"Mr. Nice" alipata ajali ya gari na waliyokuwa naye wote walikufa ila
amenusurika yeye peke yake.Tazama alichokiandika hapa chini...




Post a Comment