Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo katika
Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Rais
Msaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akikabidhiwa nyaraka na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles
Chach,zenye ujumbe wa shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo wakati
alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kujionea shughuli
zinazofanywa na Mamlaka katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano
yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Post a Comment