Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai
hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
jana jioni, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao
cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka
Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
jana jioni, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Post a Comment