Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya
Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI, walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya
nchini ukiongozwa na Filiberto CERIANI SEBREGONDI,(wa pili
kulia)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiongozana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya
Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI,baada ya mazungumzo yao
Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za
Jumuiya ya Ulaya nchini walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
baada ya mazungumzo yao. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Post a Comment