Kata ya Pera.
Kata ya Lugoba
Mkoa wa Vyuo Vikuu bega kwa bega katika kufanikisha ushindi kwa CCM Chalinze
Kila mwenye uwezo wa kucheza alicheza siku ya ufunguzi wa kampeni.
- Mgombea wake aonekana kuyajua matatizo ya wananchi vizuri na majibu ya matatizo yao.
- Ridhiwani ajinadi kwa sera safi za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM
- Tangia ameanza Kampeni hajawahi hata siku moja kuzungumzia upinzani, ametumia muda mwingi kuzungumzia maendeleo ya Jimbo la Chalinze.
- Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuiya zake waja kumuunga mkono Chalinze
- Tofauti na wagombea wa Vyama vingine Ridhiwani ameweza kufika kila kata ,kijiji kwa kijiji kitongoji kwa kitongoji.
Post a Comment