Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika utekelezaji
wa mpamgo wa kazi wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi
wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya Viongozi wa Wizara ya Afya wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa
mpamgo wa kazi wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Unguja leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
(katikati) [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Uongozi
wa Wizara ya Afya ukiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi
wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Unguja leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein (katikati) [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]





Post a Comment