Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu
katika
Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano
linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda
wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua katika ukumbi
wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo
April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa
Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
PICHA NA IKULU





Post a Comment