Waziri
wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed
akihutubia katika kongamano lililohusu mtangamano wa Afrika Mashariki
mjini Zanzibar jana, kuelekea maadhimisho ya miaka hamsini ya muungano.
Picha ya Pamoja ya washiriki wa Kongamano ya Mtangamano wa Afrika Mashariki lililofanyika mjini Zanzibar jana. (Picha na Evelyn Mkokoi na Anthony Ishengoma, Maafisa habari na mawasiliano serikalini) (FS)
Post a Comment