Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAHARIRI NA WAANDISHI WA NEW HABARI WAPINGA VITENDO VYA UBAGUZI WA WACHEZAJI WAAFRIKA WANAOCHEZA SOKA LA KULIPWA ULAYA

 


 NI MCHEZAJI WA BARCELONA ALIYERUSHIWA NDIZI NA KISHA AKAIOKOTA NA KUIMENYA NA KISHA KUILA.  
Baadhi ya wahariri na waandishi wa Magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, Mwani Nyangasa na wenzake wakila Ndizi kwa pamoja kama ishara ya kumuunga mkoni mchezaji wa Barcelona Mwafrika aliyeonyeshwa vitendo vya ubaguzi wa rangi hivi juzi wakati akiwa mchezoni na timu yake ilipokuwa ikicheza, ambao mashabiki walimrushia ndizi mbivu uwanjani na yeye kwa kuwaonyesha kuwa hajali kitendo hicho aliiokota na kuimenya kisha kuanza kuila, jambo ambalo liliungwa mkono na wengi na kumpongeza kwa kitendo chake cha ujasiri, na kuendelea na mchezo.
Baloteli pia ni mmoja kati ya wachezaji Waafrika aliyeunga mkono kitendo cha mwafrika mwenzake kuwakebehi na kuwadharau mashabiki hao wa ubaguzi. Na pia Baloteli ni mmoja kati ya wachezaji wanaokumbana na vitendo hivyo vya unyanyasaji uwanjani mara kwa mara.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top