Matumizi
ya dawa za kuongeza biceps kama sythol huwaletea madhara makubwa hasa
wale wanaotumia kukuza misuli yao.Athari za synthol
Sisi
tunaishi katika ulimwengu ambapo wanawake wanakufa kwa ajili ya ‘uzuri’
, wanawake wanataka midomo iliyo kamili, tako liloumuka , matiti saa
sita figure kama la masogange.
lakini
ukweli kua wakina dada wanakufa wakitafuta uzuri.wasichana wengi
wanakuwa wanajihusisha na madawa aina mbalimbali ili kurekebisha rangi
za ngozi zao ama matako yao au chchu zao ila madhara yake ni makubwa
sana hasa pale wanapotumia chemical za sumu.
Mwanamke
mmoja Apryl Brown alipoteza mikono na miguu yake na matako yake kuungua
vibaya yote katika harakati za kusaka uzuri. Hapa ni nyuma yake baada
ya silicon kuanza kuchoma moto ngozi yake
Post a Comment