Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Ndugu Clavery Mpagama mara
baada ya kuwasili Mnazi Mmoja kuhudhuria kilele cha siku ya wakunga
duniani leo tarehe 5.5.2014.
Maandamano
ya wakunga yakipita mbele ya mgeni rasmi mke wa rais Mama Salma
Kikwete, wakati wa kilele cha siku ya wakunga duniani yaliyofanyika
katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.
Maandamano yakipita mbele ya jukwaa kuu.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea maandamano ya wakunga wakati wa
kilele cha siku ya wakunga duniani yaliyofanyika katika viwanja vya
Mnazi Mmoja.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimi mtoto Rahim mwenye umri wa miezi 2
akiwa na baba yake ndugu Amir Adam, 35, na mama yake Hamida (kushoto)
walipompeleka kupata chanjo wakati wa sherehe za kilele cha siku ya
wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa
yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe
za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es
Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa
yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe
za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es
Salaam.
Wakunga mbalimbali na wananchi wakifurahia wakati wa maadhimisho hayo.
Mke
wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wakunga
Tanzania na baadhi ya wakunga waliohudhuria sharehe za kilele cha siku
ya wakunga duniani. Picha na John Lukuwi
Post a Comment