Mbunge
wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akiingia katika kikao Maalum cha
Wajumbe wa Baraza la Jimbo akiongozana na Mbunge wa Viti maalum na
Mwenyekiti wa( UWT) Temeke, Mariam Kisangi.
Baadhi
ya Madiwani wakiimba nyimbo na wakipiga makofi, wakati alipokua
akiingia mgeni rasmi, Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu mara alipowasili
katika hafla hiyo, ya ufunguzi wa kikao maalum cha wajumbe wa Baraza la
Jimbo la Temeke UWT. Kulia ni Amina Ismail, katikati ni Maryam Mtemvu na
kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Mwenyekiti wa (UWT) Kata ya
Kibada Kigamboni,Kurwa Mazamba.
Mshehereheshaji akitoa maelezo katika hafla hiyo.
Mshehereheshaji ambaye ni Katibu wa UWT wa Temeke, Zahara Mohamed akiimba wimbo.
Mbunge
wa Jimbo la Temeke kulia, Abbas Mtemvu na Mbunge Viti Maalum na
Mwenyekiti wa UWT) Wilaya ya Temeke kushoto ni Mariam
Kisangi, wakiwapungia mikono wajumbe mara walipo kua wakipewa Salam za
chama hicho.
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) ,akiweka saini katika kitabu
cha wageni ,kushoto ni Mbunge Viti Maalum na Mwenyekiti wa
(UWT) Wilaya ya Temeke Mariam Kisangi.
Diwani
Viti Maalum Miburani Dorothy Kilave, akisalimi wajumbe kwa salam ya
kuonyesha vidole kwakuashiria Serekali mbili mpango mzima, mara alipo
tambulishwa, wakatikati ni Diwani Viti Maalum kata ya Azimio Amina
Ismail na kushoto ni Diwani
Viti Maalum kata Tandika, Maryam Mtemvu.
Viti Maalum kata Tandika, Maryam Mtemvu.
Mbunge
Viti Maalum na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya ya Temeke katikati Mariam
Kisangi, na kushoto ni Katibu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Zahara
Mohamed, wakiwasalimia wajumbe kwakuonyesha Vidole, kulia ni Mbunge wa
Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu.
Wajumbe wakiwa wanonyesha Vidole kwakuashiri salam za Chama cha Mapinduzi,kuashiria Serekali mbili.
Post a Comment