Loading...
Home »
Unlabelled »
RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE ARUSHA
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose
Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha
Kimataifa cha Majaji
Wanawake
wakiimba wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama
hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha
AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete.
Baadhi
ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa
cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano
mjini Arusha(picha na Freddy Maro)
on Monday, May 5, 2014
Post a Comment