|
Mwenyekiti wa MISA-Tanzania ,Mohamed
Tibanyendera akizungumza wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na
wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano
uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini
Arusha. |
|
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo
wakifuatilia kwa karibu hotuba zilizokuwa zikitolewa wakati wa mkutano
huo. |
|
Washiriki wa mkutano huo walipata wasaa wa
kusimama kwa muda kuwakumbuka waandishi wa habari waliopoteza maisha
wakati wakiwa katika shughuli za kutekeleza majukumu
yao. |
|
Kaimu mwakilishi mkazi wa UNESCO-Tanzani
Abdoul Wahab Coulibaly akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa
wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Meneja utafiti na
machapisho wa Baraza la Habari nchini (MCT)John Mirenyi akizungumza
kwa niaba ya katibu mkuu wa MCT wakati wa mkutano wa wanahabari
pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Mkurugenzi wa TMF ,Ernest Sungura akitoa
hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika
siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Rais wa Muungano wa vilabu vya waandishi wa
habari Tanzani ,UTPC ,Kenneth Simbaya akitoa hotuba yake wakati wa
mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri
Tanzania,TEF,Absalomu Kibanda akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa
wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi
wa habari wanawake(TAMWA) Valerie Msoka akitoa hotuba yake wakati wa
mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Baadhi ya wageni wakifuatilia hotuba
zilizokuwa zikitolewa. |
|
Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za
Taifa (TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza wakati wa mkutano wa
wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Meneja Uhusiano wa Mamlaka
ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)Adam Akyoo akizungumza
wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao
katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela
aliyemwakilisha mkuu wa mkoa wa Arusha katika mkutano huo akitoa
hotuba yake. |
|
Mgeni rasmi katika mkutano huo Mh Jaji
Mstaafu Mark Bomani akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari
pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru
wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. |
|
Msanii Mrisho Mpoto akibadilishana mawazo na
waandishi wa habari wakongwe ,pembeni ni Edda Sanga. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya
jamii kanda ya kaskazini.
Post a Comment