Maneno ya Diamond: "Mda mwingine nakosa maneno ya kuzungumza
kuonyesha shukrani zangu kwa nyie mashabiki wangu mlioniwezesha ushindi wa hizi tuzo zote,ila neno moja tu napenda niseme, AHSANTENI,NAAHID KURUDISHA
FADHILA KWA KUWAFANYIA MAMBO MAKUBWA ZAIDI."
CHANZO: This is Diamond Blog
Post a Comment